WHAT’S UP WITH WHATSAPP WORKSHOP
Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamWHAT’S UP WITH WHATSAPP? ✨ Umewahi kufikiria jinsi WhatsApp imebadilisha mawasiliano na ubunifu wetu? 💭📱 Karibu kwenye warsha maalum na MUGABI BYENKYA 🎙 📅 Ijumaa,24 Oktoba 🕑 Saa 8:00 mchana – 10:00 jioni 📍 Nafasi Art Space Warsha hii itachunguza hadithi na ushirikiano katika fani mbalimbali za sanaa waandishi, watengenezaji filamu, wachoraji, wanamuziki na wengine […]