FINDING THE MEANING OF LIFE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Mark Your Calendars! 🌟 Join us on July 11th at 6 PM at Nafasi Art Space for the opening of “Finding the Meaning of Life”a captivating art exhibition by Nyanzula Monica Nangale ( @nyanzulaarts )🖼️✨ This powerful showcase brings her insightful book to life through stunning visuals that invite deep reflection on life’s purpose. Don’t miss this […]

Free

DHAHABU FRIDAY

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 📍 Nafasi Art Space 🗓️ Tarehe 11 Julai ⏰ Kuanzia saa 12 jioni mpk baadae 🎟 Kiingilio ni BURE!

Free

LETE STORI-LEGENDARY HIP HOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

A powerful evening with Ukoo Flani – the legendary hip hop collective bringing bars, beats & truth straight from Nairobi, Mombasa & Bongo! 🎤 Real stories. Real culture. Real hip hop. 🗓️ Saturday 19th July 2025 🕖 7PM | 📍Nafasi Art Space 🎟️ Free Entry – Don’t miss it! #UkooFlani #HipHopLegends #NafasiArtSpace #LiveMusic #EastAfricanVibes #FreeEvent #DarEsSalaamVibes #KenyaToBongo #RealHipHop 🔥🎶🇰🇪🇹🇿 ⸻——————————————————————————

Free

ART CONVERSATION

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Join us this Friday for a powerful Conversation on Art & Society: Ujamaa and other stories 🖼️✨ 🎙️ With Mike Mavura ( @pamurove_foundation ), Mihayo Kallaye ( @mihayokallaye ) & Haikaeli Gilliard ( @afriikaeli ) 🗓️ Friday, 25 June | 🕑 2PM–3:30PM Let’s reflect on how art shapes society 🎨🧠 #nafasiartspace #swissembassytz #norwaytz #swissdevcoop #pamurovefoundation […]

DHAHABU FRIDAY

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 📍 Nafasi Art Space @nafasiartspace 🗓️ Tarehe 25 Julai ⏰ Kuanzia saa 2 jioni mpk baadae 🎟 Kiingilio ni BURE! Usikose! 🔥💛 ——————————————————— 🎶✨ Welcome to […]

Free

DHAHABU FRIDAY!!

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! 📍 Nafasi Art Space 🗓️ Tarehe 8 Augosti ⏰ Kuanzia saa 1 […]

Free

DRAWING FROM LIFE- ART WORKSHOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu kwenye warsha ya kipekee ya uchoraji @nafasiartspace! Njoo ujifunze, uconnect na usherehekee sanaa pamoja na wasanii wenzako 🧑🏾‍🎨👩🏽‍🎨 Warsha hii itakuwa ikiongozwa na Vincent Temu ( @vensa_temu ) katika toleo la pili la “Drawing from Life” ✏️🖼️ 🗓️ Jumanne | 12 Agosti 2025 ⏰ Saa 8 mchana hadi saa 11 jioni 📍 Nafasi Art Space Usikose nafasi […]

Free

ARTIST TALK- GRASSROOT COMICS

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Fahamu Kuhusu Komikijamii: Njia Mpya ya Mawasiliano Mwasilishaji:: Nathan Mpangala ( @nathanmpangala ) Tarehe: Alhamisi, 14 Agosti 2025 Muda: Saa 9:00 alasiri – 11:00 jioni Eneo: Nafasi Art Space, Mikocheni, Dar es Salaam Karibu katika mazungumzo ya wazi yatakayoongozwa na msanii maarufu wa Kitanzania, Nathan Mpangala, atakapotambulisha Komikijamii - njia mpaya kabisa ya mawasiliano ngazi […]

Free

VIDEO LAUNCH

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Mziki na Maarifa inakuletea uzinduzi rasmi wa video mpya ya muziki ya @its_gloria_m iitwayo “Tunatokaje Hapa”, utakaofanyika Alhamisi, tarehe 21 Agosti 2025, saa 12 jioni (6:00PM) katika Nafasi Art Space! Katika tukio hili maalum, @its_gloria_m, mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano la Mziki na Maarifa, atazindua kazi yake ya ubunifu inayochunguza masuala ya kijamii kwa kupitia muziki […]

Free

BONGO FLAVA MUSIC-JUMA NATURE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Tunajivunia na kufurahi kwa dhati kumkaribisha @sir_nature gwiji wa Bongo Flava na rap ya Kiswahili – kuja kubless jukwaa la Lete Stori mwezi huu hapa Nafasi Art Space! 🏠🔥 🗓 Tarehe: 23 Agosti 2025 ⏰ Saa: Kuanzia saa 1 jioni mpaka kuendelea 🎟 Kiingilio: BURE Njoo ushuhudie mazungumzo ya kipekee kuhusu historia yake ya muziki, kutoka […]

Free

DHAHABU FRIDAY

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na (@john_kitime), likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 Na safari hii, DJ Seche (@dj__seche)atakuwa nasi kuhakikisha burudani haikomi! 🎧🔥 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! […]

Free

CALL FOR ARTISTS

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Are you an artist rooted in tradition or reimagining it for today? Kizamani Kisasa is calling on both veteran and emerging artists to showcase work that bridges the traditional and the contemporary. We’re seeking bold, thoughtful pieces from painting and sculpture to mixed media, fashion, and digital forms. 📩 Send your work to: nafasigalleries@gmail.com The background […]