DHAHABU FRIDAY!!

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! 📍 Nafasi Art Space 🗓️ Tarehe 8 Augosti ⏰ Kuanzia saa 1 […]

Free

DRAWING FROM LIFE- ART WORKSHOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu kwenye warsha ya kipekee ya uchoraji @nafasiartspace! Njoo ujifunze, uconnect na usherehekee sanaa pamoja na wasanii wenzako 🧑🏾‍🎨👩🏽‍🎨 Warsha hii itakuwa ikiongozwa na Vincent Temu ( @vensa_temu ) katika toleo la pili la “Drawing from Life” ✏️🖼️ 🗓️ Jumanne | 12 Agosti 2025 ⏰ Saa 8 mchana hadi saa 11 jioni 📍 Nafasi Art Space Usikose nafasi […]

Free

ARTIST TALK- GRASSROOT COMICS

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Fahamu Kuhusu Komikijamii: Njia Mpya ya Mawasiliano Mwasilishaji:: Nathan Mpangala ( @nathanmpangala ) Tarehe: Alhamisi, 14 Agosti 2025 Muda: Saa 9:00 alasiri – 11:00 jioni Eneo: Nafasi Art Space, Mikocheni, Dar es Salaam Karibu katika mazungumzo ya wazi yatakayoongozwa na msanii maarufu wa Kitanzania, Nathan Mpangala, atakapotambulisha Komikijamii - njia mpaya kabisa ya mawasiliano ngazi […]

Free

VIDEO LAUNCH

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Mziki na Maarifa inakuletea uzinduzi rasmi wa video mpya ya muziki ya @its_gloria_m iitwayo “Tunatokaje Hapa”, utakaofanyika Alhamisi, tarehe 21 Agosti 2025, saa 12 jioni (6:00PM) katika Nafasi Art Space! Katika tukio hili maalum, @its_gloria_m, mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano la Mziki na Maarifa, atazindua kazi yake ya ubunifu inayochunguza masuala ya kijamii kwa kupitia muziki […]

Free

BONGO FLAVA MUSIC-JUMA NATURE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Tunajivunia na kufurahi kwa dhati kumkaribisha @sir_nature gwiji wa Bongo Flava na rap ya Kiswahili – kuja kubless jukwaa la Lete Stori mwezi huu hapa Nafasi Art Space! 🏠🔥 🗓 Tarehe: 23 Agosti 2025 ⏰ Saa: Kuanzia saa 1 jioni mpaka kuendelea 🎟 Kiingilio: BURE Njoo ushuhudie mazungumzo ya kipekee kuhusu historia yake ya muziki, kutoka […]

Free

DHAHABU FRIDAY

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na (@john_kitime), likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 Na safari hii, DJ Seche (@dj__seche)atakuwa nasi kuhakikisha burudani haikomi! 🎧🔥 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! […]

Free

CALL FOR ARTISTS

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Are you an artist rooted in tradition or reimagining it for today? Kizamani Kisasa is calling on both veteran and emerging artists to showcase work that bridges the traditional and the contemporary. We’re seeking bold, thoughtful pieces from painting and sculpture to mixed media, fashion, and digital forms. 📩 Send your work to: nafasigalleries@gmail.com The background […]

NAFASI ART OUTREACH

Mlamleni, Mkuranga Mlamleni, Mkuranga Pwani, Pwani

When we collaborate as artists, we have the power to create meaningful art that positively impacts our communities. Nafasi Art Space invites theatre artists to join a powerful outreach at Mlamleni, Mkuranga Pwani, aimed at creating a collaborative theatrical performance to counter violence against children. 🗓️ Date: Wednesday, 3rd September 2025 🕗 Time: 8am – […]

ART SHOWCASE

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

TUNAPOKUA MASKANI SHOWCASE Karibu kwenye maonyesho ya mwisho ya makazi ya muda kwa Vincent Temu (@vensa_temu ) hapa Nafasi Art Space yenye jina “Tunapokua Maskani” 🏘️ Ni tafakari ya maisha mtaani kupitia uchoraji mubashara, watu, vitu, na hadithi zinazoishi ndani ya kila kona ya jiji. 🗓️ Ijumaa | 5 Septemba 2025 🕕 Saa 12 Jioni hadi […]

Free

DHAHABU FRIDAY

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na (@john_kitime), likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 Na safari hii, DJ Seche (@dj__seche)atakuwa nasi kuhakikisha burudani haikomi! 🎧🔥 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! […]

Free

FASHION SHOW

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Counting down to the Wape Nafasi Deaf Fashion Show! 🦅 A stage where bold style meets fearless expression from fashion to dance, performances to screenings, this is where deaf talent shines without barriers. This isn’t just a show it’s a celebration of diversity, beauty, and strength that will leave you inspired and connected. Get ready, […]

WIKIEND LIVE

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

KIZAMANI KISASA ! 🌍🔥 Get ready for Wikiendi Live 2025 happening September 26-27! A weekend full of 🔥 live performances from Tanzania and beyond 🌍, 🎨 art exhibitions, chil🍲 delicious food, 🍹 drinks, and unforgettable vibes! You don’t wanna miss it – let’s celebrate creativity, culture, and connection! 💃🏾🕺🏽🎶 📍 Nafasi Art Space #WikiendiLive #KizamaniKisasa #DarVibes #LiveArt #MusicFestival #TanzaniaCulture #WeekendVibes #SanaaInaishi