LIVE MUSIC CONCERT
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamJiunge nasi kwenye shoo kali ya Mziki na Maarifa itakayofanyika Nafasi Art Space kuanzia saa 1 usiku! Tukio hili litakusanya wasanii wenye vipaji vya hali ya juu wanaoshindana kwa nafasi ya kuwa nyota inayokuja. Usikose kujionea na kujua nani ataibuka mshindi wa shindano hili. Fuatilia safari ya Mziki na Maarifa kwenye mitandao ya kijamii na […]