END OF ARTIST RESIDENCE
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamBaada ya mwezi mzima wa makazi ya muda hapa Nafasi Art Space, msanii mahiri kwenye kupiga ngoma 🥁, @andi_stecher , anaungana na bendi kutoka Tanzania yenye ladha ya mchiriku iitwayo Masome & Hapotei Band (@mosamtz9 )🎶, kutumbuiza kwenye jukwaa. 🕺🏾💃🏾🔥 🗓️- 06/12/2024 Ijumaa ⏰- Saa 12 jioni mpaka saa 3 Usiku 📍- Mikocheni B Nafasi Art Space ************************************************ […]