CALL FOR ARTISTS

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Are you an artist rooted in tradition or reimagining it for today? Kizamani Kisasa is calling on both veteran and emerging artists to showcase work that bridges the traditional and the contemporary. We’re seeking bold, thoughtful pieces from painting and sculpture to mixed media, fashion, and digital forms. 📩 Send your work to: nafasigalleries@gmail.com The background […]

VIDEO LAUNCH

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Mziki na Maarifa inakuletea uzinduzi rasmi wa video mpya ya muziki ya @its_gloria_m iitwayo “Tunatokaje Hapa”, utakaofanyika Alhamisi, tarehe 21 Agosti 2025, saa 12 jioni (6:00PM) katika Nafasi Art Space! Katika tukio hili maalum, @its_gloria_m, mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano la Mziki na Maarifa, atazindua kazi yake ya ubunifu inayochunguza masuala ya kijamii kwa kupitia muziki […]

Free

DHAHABU FRIDAY!!

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! 📍 Nafasi Art Space 🗓️ Tarehe 8 Augosti ⏰ Kuanzia saa 1 […]

Free

SET DESIGN WORKSHOP

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu kwenye warsha ya siku mbili ya Ubunifu wa Mandhari (Set Design)! Utajifunza: 🎬 Umuhimu wa mandhari kwenye filamu 🎬 Jinsi ya kuunda mandhari inayolingana na muswada 🎬 Matumizi ya vitu vya kawaida (props) kuboresha mandhari yako Na mambo mengine mengi..... Tarehe: 24-25 Julai Mahali: Nafasi Art Space, Mikocheni Muda: Saa 3 asubuhi – 10 […]

DHAHABU FRIDAY

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na @John Kitime, likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! 🌍🎷🎸 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 📍 Nafasi Art Space 🗓️ Tarehe 11 Julai ⏰ Kuanzia saa 12 jioni mpk baadae 🎟 Kiingilio ni BURE!

Free

OPEN SUBMISSION

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Wasanii wa Kitanzania! Tuma kazi zako za sanaa za kutafakari na ustawi kabla ya Julai 10. 🌿🎨 #SanaaNaAmani #UstawiKupitiaSanaa #WasaniiWaKitanzania #SanaaYaKutafakari #MaonyeshoYaSanaa 🔗 Link ipo kwenye bio ———————————————————————————————— Tanzanian artists! Submit your reflective, wellness-inspired art by July 10. 🌿🎨 #ArtForPeace #WellnessThroughArt #TanzanianArtists #ReflectiveArt #ArtExhibition 🔗 Link https://docs.google.com/forms/d/1g6arex5Cox_CvLQkHEC0eLes6tmR7yJxbj1uAD8Ui40/edit?usp=drivesdk

Free

MUSIC PRODUCTION WORKSHOP

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Calling All Aspiring Producers! Unleash your inner sound alchemist at our FREE Basic Music Production Workshop at Nafasi Art Space! 📅 July 8–11, 2025 🌟 Beginner-friendly | Hands-on | Limited slots 💥 Learn to craft beats, shape sound, and build your first track from scratch. 🕒 Register before July 4, 2025 to secure your space […]

CHORA & CHIIL- PAINTING WORKSHOP

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Chora na Chill – Painting Workshop 🖌️ Unleash your creativity in a relaxing, hands-on workshop with four talented visual artists. Explore multiple painting styles, discover new techniques, and express yourself freely no experience needed! 🗓️ June 27, 2025 🕐 1pm - 3pm 📍 Nafasi Art Space 🎟️ Register now via the link in bio! #ChoraNaChill #PaintingWorkshop #NafasiArtSpace #swissembassyintz #norwaytz #CreateAndRelax #ArtForEveryone

Free

LIVE MUSIC

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam
Free

OPEN MIC NIGHT

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Be sure to join! 🎭🎶 Here’s your chance to STEP ON STAGE for free, showcase your talent, and make your dreams come true! Join us for a night of art, entertainment, and creativity. This is your chance to take the stage and showcase your talent—whether it’s poetry, spoken word, music, rap, storytelling, comedy, or any […]

Free

OPEN GALLERY – THE BEAUTIFUL LIFE

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

OPEN GALLERY | PHOTO EXHIBITION “THE BEAUTIFUL LIFE” by Jovinus Jeremiah ✨ Each photo is a pause, a breath, an invitation to look again and find beauty where it gently waits. Jovinus Jeremiah invites you to witness the world through his lens — a world filled with simple joys, silent emotions, and everyday beauty. “The […]

Free

CURATORIAL TALK

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Stay tuned and come through! Meet Mike Mavura (@mikemavura) for a curatorial talk where he’ll be sharing insights on art curation and creative practice. Let’s connect, share, and get inspired together! 💬💡 🗓 May 30 🕓 4PM – 6PM 📍 Nafasi Art Space, Mikocheni B Don’t miss it – see you there! 👋🏽

Free