DHAHABU FRIDAY
Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamKaribu Dhahabu Friday!! Tulio la kimuziki la kilejendari, likukuletea ladha ya muziki wa kizamani kutoka kila kona ya dunia masanturi na chimbuko la miziki mizuri.🌍🎷🎸 Bila kumuacha DJ Seche ambaye atakuwepo kutuburudisha mpaka asubuhi.🎧🔥 🕺🏾💃🏾 Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! 🎤 Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali […]